Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii Good Doctor inafaa niivae sasa naona inatrend Sana pia rating zake sio mbaya.
Tatizo siku na mpango wa kuanza season mpya mpaka STRANGER THINGS itapotoka tarehe 28 mwezi huu.
 
Habari zenu wapendwa, naelekea kumaliza season 4 ya THE LAST SHIP. Kuna series gani nzuri mithili ya hii ambayo angalau ina zaidi ya season 3 au 4...?
 
Wahenga walisema kizuri share na wenzio, kama wapenda series na movie nawashauri muangalie hii series SABURRA.

Kama mtuu ulivutiwa na Narcos basi hii pia utaipenda zaidi sema hii imeigizwa kwa kitaliano Kuna umafia wa hali ya juu na watu wa Kama akina Pablo Escobar, cartels na agent PENA humu.

Kama kwenye Narcos tuliaanza kuelewa kispanish mjiandae pia na humu kufahamu kitaliano.

5f3c4db7bb33dc34c1c4cdd5e5a81bc9.jpg
 
Hii Good Doctor inafaa niivae sasa naona inatrend Sana pia rating zake sio mbaya.
Tatizo siku na mpango wa kuanza season mpya mpaka STRANGER THINGS itapotoka tarehe 28 mwezi huu.
Good Doctor ni nzuri ila subiri mzigo uwe complete ndo utaenjoy huku ukisubiria Netflix watoe Stanger Things huwa hawana longolongo hawa wanawekaga full season.
 
Wahenga walisema kizuri share na wenzio, kama wapenda series na movie nawashauri muangalie hii series SABURRA.

Kama mtuu ulivutiwa na Narcos basi hii pia utaipenda zaidi sema hii imeigizwa kwa kitaliano Kuna umafia wa hali ya juu na watu wa Kama akina Pablo Escobar, cartels na agent PENA humu.

Kama kwenye Narcos tuliaanza kuelewa kispanish mjiandae pia na humu kufahamu kitaliano.

5f3c4db7bb33dc34c1c4cdd5e5a81bc9.jpg
Bila kusahau El Chapo
 
Ina season ngp?
 
Ndo nmeanza kuangalia AMERICAN GODS...kuna mtu anafatilia pia?
Yeah nilishamaliza season 1 yote hiyo
Series ipo poa ingawa inahitaji utulivu ili uilewe vyema ila namkubali WEDNESDAY na SUNSHINE, wanavyobishana na kujibizana.

Ila Kama wewe ni muumini mzuri wa mungu achana nayo hiyo maana kwa upande furani wanakashifu dini zetu pendwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom