Series (Special thread)

Series (Special thread)

QUEEN OF THE SOUTH

ASEH BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA HAINA HURUMA, PESA MBELE UHAI BAADAYE
 
Nimemaliza kuangalia "Narcos" Season 3. Baada ya kufa Pablo Escobar series haiwezi kuwa sawa na kabla ya kubwa la maadui lenyewe kufarikia.

Kama hujaiangalia itafute Season 1 and 2, inaonyesha maisha ya Colombia na biashara ya madawa ya kulevya enzi za Pablo Escobar.
Aaaaaaaaaahh sure mzee nliiskiagaah AF nkasahau kuitafuta poapoaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check hiii...
1.Designated survivor
2.24 legacy
3.blindspot
4.shooter
5.zoo
6.Jason Bourne series
7.scorpion
8.queen of the south
9.the last ship
10.salvation
Hutojuta ukizicheki hizo series...
Ni series za kutumia akili nyingi sanaa
Eeeeeh izoo ndo series..ipii hapoo niyaa uwizii uwizii asaa coz wez wezi wanaakili sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemaliza kuangalia "Narcos" Season 3. Baada ya kufa Pablo Escobar series haiwezi kuwa sawa na kabla ya kubwa la maadui lenyewe kufarikia.

Kama hujaiangalia itafute Season 1 and 2, inaonyesha maisha ya Colombia na biashara ya madawa ya kulevya enzi za Pablo Escobar.
Da kweli mkuuu narcos 1 and 2 ndio nzuri 3 nimeishia episode ya 2 sina hamu kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom