Series (Special thread)

Series (Special thread)

Sio kumtumia. Wanataka kumuondoa as kikwazo. Mbaya zaidi wale watoto bwana ake na zoe wamehack ile ngoma Kule juu wanaharibu mbwa wale hawajui kama ndio wanaangamiza dunia hivo
Haha hiii comment umeongea kwa hisia sana..
KAma kweli dunia itaangamiaa yani
 
Nimemaliza kuangalia "Narcos" Season 3. Baada ya kufa Pablo Escobar series haiwezi kuwa sawa na kabla ya kubwa la maadui lenyewe kufarikia.

Kamahujaiangalia itafute Season 1 and 2, inaonyesha maisha ya Colombia na biashara ya madawa ya kulevya enzi za Pablo Escobar.
Mkuu Narcos season 3 tayari? niliipenda sana hii season 1 na 2. Hebu nidokeze japo kidogo maana pablo mwenyewe kashatangulia mbele za haki
 
Check hiii...
1.Designated survivor
2.24 legacy
3.blindspot
4.shooter
5.zoo
6.Jason Bourne series
7.scorpion
8.queen of the south
9.the last ship
10.salvation
Hutojuta ukizicheki hizo series...
Ni series za kutumia akili nyingi sanaa

List angu iko hivi
1. The last ship
2. Designated survivor
3. Scorpion
4. Blindspot
5. Good behaviour
6. Salvation
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom