Hivi humu hamna anaecheki NARCOS.... hii series ni nooouma
Kati ya ugonjwa wangu mkuu ni kushika majina aisee, hata wanafunzi wangu wengi siwajui majina.

AiseeeTunaifuga kwanza ukiadithia utamaliza uhondo.
natamani uiangalie. Nitazifuga zingine lakini sio The Last ShipNaongelea season 03 imetoka full package mpaka episode ya 10Wenzio tumesha isahau maana ni ya kitambo.season two nadhani nimeiona mwaka huu mwanzoni!
Naipata wapi ya quality ya 480pNaongelea season 03 imetoka full package mpaka episode ya 10
Mazee mnanipa mamzuka ya kurudi kwenye Last ship ...nakumbuka nilichekigi season 1 tena episod mbili tu, nkakosa ma feelings za kuendelea icheki. ..ila kaa vip naeza fanya namna aise maana wadau wanasema ni kali sana.Jamani sikutegemea kama Slattery angepatikana,nikajua anauliwa au anakufa jomoni I'm happyLast ship mie weee. Sasa Georgio Kazi anayo na omar wake
![]()
![]()
![]()
![]()
The last ship tamu jomoni
Hatari sana,
Mazee mnanipa mamzuka ya kurudi kwenye Last ship ...nakumbuka nilichekigi season 1 tena episod mbili tu, nkakosa ma feelings za kuendelea icheki. ..ila kaa vip naeza fanya namna aise maana wadau wanasema ni kali sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
like serious??Haha noma asee maseIendelee wapi!!? Nilikuwa nachek home ndio,enzi hizo star TV kuna it might be you huku TBC1 kuna the promise![]()
![]()
![]()