Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kama kawa my first and top TV show prison break sasa maandalizi Ya season 5 yameisha stay tuned bonge la season soon will be released

Jamani nimeona kionjo chake but mpaka sasa sijajua ratiba za kuwa hewani......Hii haijapataga mpinzani
Haya ni baazi ya matukio ktk prison break katika picha.
View attachment 400982View attachment 400984View attachment 400985View attachment 400986View attachment 400987View attachment 400989View attachment 400990View attachment 400992View attachment 400993View attachment 400995View attachment 400997View attachment 401000View attachment 401002View attachment 401004View attachment 401005View attachment 401006
Hiki chuma cha nyuma ya tbag cha kuitwa sancho kilitaka kumla nyama theodore bagwell kumbe tbag akili kubwa
 
Hiyo ni nomaaa..ukiitoa breaking bad hakuna series kama GOT chini ya jua
Breaking Bad ni bonge la series lakini GoT, mnh!! Nalazimika tu kuiangalia GoT kwa sababu ya shughuli ninazofanya vinginevyo, huwa napata taabu sana ingawaje wengi wanaikubali!!

Hata Better Call Saul ambayo ni spinoff ya Breaking Bad nayo ni bonge la series!! Kama hujawahi kuiangalia, inamuhusu yule mwanasheria mjanja mjanja wa Breaking Bad, Saul!!
 
Breaking Bad ni bonge la series lakini GoT, mnh!! Nalazimika tu kuiangalia GoT kwa sababu ya shughuli ninazofanya vinginevyo, huwa napata taabu sana ingawaje wengi wanaikubali!!

Hata Better Call Saul ambayo ni spinoff ya Breaking Bad nayo ni bonge la series!! Kama hujawahi kuiangalia, inamuhusu yule mwanasheria mjanja mjanja wa Breaking Bad, Saul!!
mzee better call saul ni my favorite sana now imerud s3 nasubiri kidg niianze
 
Mmmnh mwenzetu wewe umeangalia season ya ngapi hiyo ambayo michael kafanikiwa kutoroka?
Ila ndio ajifunze mchongo ukiwa na wapambe wengi yale ndio madhara yake, hapo afanye trick aliyofanya kwenye gereza la sona kuwa ingiza chaka wenzie kisha yeye na asepe kwa njia nyingine. Na inaonesha dhahiri ile ni mara ya pili michael anajaribu kutoroka kwenye gereza la yemen.
Leta mrejesho tulikubaliana tutarud tena baada ya jukuambia wametoka tuprane updates
 
db3a66251e3c57622377580d29b22c55.jpg
 
Quantico
The Originals
The 100
Marvel Iron fist
The Blacklist
The blacklist redemption
The flash
Tomorrow people
Legends of tomorrow
Gotham
Macgyver
Lethal weapon
Scorpion
Game of thrones
Shooter
Under the domes
Falling skies

Na zakikorea pia


Kma upo dsm,,tafuta external hdd iwe na free space kma ya 100 gb,,,ntakuwekea vitu vya ukweli,,hutojuta...

Kwa Tsh.50,000/= Tu.

Ni dm kma ukihitaji
Movie tu elfu 50,000???
 
Kuna moja ipo njiani kutoka inaitwa ray kaiba kuku, sasa hivi tupo speed kuitafutia soko...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom