Series (Special thread)

Series (Special thread)

wakuu nimeangalia series kama the last ship na prison break nimependa sana jinsi akili zilivyotumika mule je ningependa kujua ni series gan nyingine ina mission za kutumia akili kama izo
Shooter
 
Msaada kupata TV show Del cuerpo del deseo, maarufu kama the second chance. Natanguliza shukrani.
 
Nipe mwongozo mkuu nimeingia huko naona maluelue tu
Maruweruwe gan mkuu,,maana ukishaipakua ile app ukiifungua tu zinakuja tv series kibao,,au ukitaka unaandika juu pale mf Prison break zinakuja season one mpka five,,unaangalia unataka kuipakua ipi,,then km ni season 5 unaifungua inakujia episod gan unataka then unaiclik hyo zitakuja ukubwa tofaut tofau utaangakia uwezo wa mb zak

Mfano inaweza kuja hiv pcha ya kwanza
1ca196a4b46eae80ea617c779613b2e1.jpg
100998093e137c3e8e816988098352ca.jpg
650a8bcb35cc86101802740de7fcf361.jpg
ukimaliza hii unakuja hapa
c7626a3708925a24443ed8abae65e612.jpg
then baadae ukifungua huo mshale hapo chini itakuja hiv
6cfebd831774edc2c34a7cfa723ee5ef.jpg
then kwenye display yako kutakua na maandish haya
54264b3612c81feb1df14bfac26fdc60.jpg
ukimaliza unabinyeza size unayotaka nadhan ukishindwa tena unaweza kua kilaza (natania)
 
Habari nyingine Kama ipi??kwani hilo halihusu series??wangapi Hapo juu wamesema,wamikacha empire kwa sababu ina mambo ya kishoga!!!did you bark over them??or u just want to find a place cooling your tamper?? I'm sorry,you are barking under the wrong tree na ni afadhali uendelee kupiga kimya hivyo hvyo
Chilax take easy
 
IMG_8606.jpg

...Wakuu nimeona sehemu nani mkali zaidi..
Kwangu Mimi wote wakali Ila SHONDA zaidi!
 
Acheni kumkomalia Dada wa watu,kama haangalii si yeye muacheni na kama tunaangalia ni sisi atuache. Hakuna haja ya kutoka ufahamu,as a matter of fact hakumtaja mtu wenyewe mmejisikia kum quote. Ila relato we kiboko,sio kwa vichambo hivyo aiseee. Haya tuachie prison yetu sasa,Sawa kadadaaa?
 
Msaada kupata TV show Del cuerpo del deseo, maarufu kama the second chance. Natanguliza shukrani.
Mkuu hebu jaribu ku google waweza pata dawnload link, maana nimechek kwenye app ya terrarium, ipo lakini haina data.
 
Maruweruwe gan mkuu,,maana ukishaipakua ile app ukiifungua tu zinakuja tv series kibao,,au ukitaka unaandika juu pale mf Prison break zinakuja season one mpka five,,unaangalia unataka kuipakua ipi,,then km ni season 5 unaifungua inakujia episod gan unataka then unaiclik hyo zitakuja ukubwa tofaut tofau utaangakia uwezo wa mb zak

Mfano inaweza kuja hiv pcha ya kwanza
1ca196a4b46eae80ea617c779613b2e1.jpg
100998093e137c3e8e816988098352ca.jpg
650a8bcb35cc86101802740de7fcf361.jpg
ukimaliza hii unakuja hapa
c7626a3708925a24443ed8abae65e612.jpg
then baadae ukifungua huo mshale hapo chini itakuja hiv
6cfebd831774edc2c34a7cfa723ee5ef.jpg
then kwenye display yako kutakua na maandish haya
54264b3612c81feb1df14bfac26fdc60.jpg
ukimaliza unabinyeza size unayotaka nadhan ukishindwa tena unaweza kua kilaza (natania)
Mkuu nashukuru sana nimefanikiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom