Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wamefanikiwa kutoroka subiri next week utaona...
Mmmnh mwenzetu wewe umeangalia season ya ngapi hiyo ambayo michael kafanikiwa kutoroka?
Ila ndio ajifunze mchongo ukiwa na wapambe wengi yale ndio madhara yake, hapo afanye trick aliyofanya kwenye gereza la sona kuwa ingiza chaka wenzie kisha yeye na asepe kwa njia nyingine. Na inaonesha dhahiri ile ni mara ya pili michael anajaribu kutoroka kwenye gereza la yemen.
 
hawajafanikiwa kutoroka wamekamatwa nje asee.sema michael ataona sio mbaya maan pia kuna jamaa yke alishindwa kutoka alibaki na alikuwa mtu muhim cna
Sipati picha kichapo atakacho chezea kwa alichotaka kukifanya.
 
Mmmnh mwenzetu wewe umeangalia season ya ngapi hiyo ambayo michael kafanikiwa kutoroka?
Ila ndio ajifunze mchongo ukiwa na wapambe wengi yale ndio madhara yake, hapo afanye trick aliyofanya kwenye gereza la sona kuwa ingiza chaka wenzie kisha yeye na asepe kwa njia nyingine. Na inaonesha dhahiri ile ni mara ya pili michael anajaribu kutoroka kwenye gereza la yemen.
Season 5 episod 4 inayotoka jumanne usiku mnene jamaa wamesepa usipoamin utakuja hapa kuthibitisha,,
 
achaa mkuu yule jamaa ana akili hlf sio muoga...wameipatiq sana ile ngoma
Huu mzigo the blacklist nilishusha wote ikawa bado kuu cheki tu, duuh nikaifuta bahati mbaya kwenye pc na kwenye recycle bin, nimesha tafuta software za ku recover nyingi ni za kulipia.
 
Rome
The sopranos
Falling skies
Under the dome
Vikings
Billions
Gotham
Beowolf
Da Vinci demons.
If loving you was wrong
 
The Americans
Homeland
Outsiders
Line of Duty (UK)
House of Cards
Ray Donovan
Justified
Fargo
Elementary
24 Legacy
Designated Survivor
 
Mmmnh mwenzetu wewe umeangalia season ya ngapi hiyo ambayo michael kafanikiwa kutoroka?
Ila ndio ajifunze mchongo ukiwa na wapambe wengi yale ndio madhara yake, hapo afanye trick aliyofanya kwenye gereza la sona kuwa ingiza chaka wenzie kisha yeye na asepe kwa njia nyingine. Na inaonesha dhahiri ile ni mara ya pili michael anajaribu kutoroka kwenye gereza la yemen.
3319618305b71d12e45536386a442797.jpg
d0f2fc6b05955836e95939b28a4f440b.jpg
2c0bf83f5e833498d9b4e83e1873ba44.jpg
8b86df715e7f795fc16a51d333725aa6.jpg
season 5 ep 4
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom