xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,133
- 7,352
Season 5 episode 5Mmmnh mwenzetu wewe umeangalia season ya ngapi hiyo ambayo michael kafanikiwa kutoroka?
Ila ndio ajifunze mchongo ukiwa na wapambe wengi yale ndio madhara yake, hapo afanye trick aliyofanya kwenye gereza la sona kuwa ingiza chaka wenzie kisha yeye na asepe kwa njia nyingine. Na inaonesha dhahiri ile ni mara ya pili michael anajaribu kutoroka kwenye gereza la yemen.