Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Series ya time after timeMnaizungumzia series gani nimejaribu kurudi nyuma nijue mnachoongelea nimekosa niweke sawa
Series ya time after timeMnaizungumzia series gani nimejaribu kurudi nyuma nijue mnachoongelea nimekosa niweke sawa
Owk,nmekupata,,kama haina mambo ya kipelelez na tecnology na visas kiukwel sitaipenda,,,napenda series zenye mlengo huoKuna msichana anajiua. Then baadae mwanafunzi mwenzie anapokea tapes zinazoelezea watu waliopelekea yeye kujinyonga na sababu 13 za yeye kujinyonga. Seems a pretty mystery
Zote naziangalia japo blacklist kuanzia season 2 mwishon ndio ilinoga haswa... Jarbu kupoteza muda kwa kuangalia time after time hutajutia bando lakoMambo yote ni Blacklist na Designated Survivor
Unapatikana wapi mkuu?Mkuu tunaweza tukawasiliana ukanipa hvyo vitu
Mkuu naomba nitajie app ya kuangalia hizi kwa simuPenda sana Moviez hasa Series, kiukweli mmenigusa hapo.
In short nimecheki series nyingi sana na suala la maadili ndan ya movie ni suala la mtu binafsi kujiongeza, fuatilia stori na siyo kucopy na kupaste itakula kwako, pia cha kuzingatia ni mazingila gani unatazama movie, epuka kukaa na watoto wakat wa kutazama movie.
Series ambazo pia ni nzuri ni kama
1. The Messenger
2. Person of interest
3. Strike back
4. Scandal
5. Suit
6. The last Man on earth
7. Blacklist
8. Missing
9. Grimm
10. The event
11. The following
12. 24 Hours
13. Hostage
14. Niki
15. Traveler
N.k zipo nyingi kwl kwl.
Shinyanga.Unapatikana wapi mkuu?
The event aisee we wcha kabsaMkuu naomba nitajie app ya kuangalia hizi kwa simu
Hiv huyu demu aliecheza super girl ndie yule yule kwenye Arrow ambae anacheza kama IT girl???View attachment 349814View attachment 349815Kama unafuatilia hizi series toa maoni yako hapa, kwangu ni very interesting , Sina muda na michezo ya kifilipino na kibongo. View attachment 349813
Mkuu nimejaribu kuingia hiyo toxic na o2 zinaniletea vitu vya magame na pon kwa lazima hazinifikishi kuopt seriz nayotakaToxicwap,o2tvseries,tvshow4mobile na app ya terrarium TV plus show box app. Zote hizo zipo Google searcg
Kama mtu amezidowload naomba tutafutane ili hata kwa kuniuzia nizipate hizo series lakini awe na episode Nyingi nyingiToxicwap,o2tvseries,tvshow4mobile na app ya terrarium TV plus show box app. Zote hizo zipo Google searcg
Nadownload app au nacheki direct kwa Google?Tumia terrerium tv ndugu wala upati shida
Unaipakua app,na unaweza pia angalia direct kwa google..Nadownload app au nacheki direct kwa Google?