b191
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 742
- 1,032
Watakuwa nayo wauza cd, mm niliipata nikiwa DomDah kwa dar hapo zinapatikana maeneo gani
Watakuwa nayo wauza cd, mm niliipata nikiwa DomDah kwa dar hapo zinapatikana maeneo gani
Dah good doctor ni bonge la series kuhusu upasuaj WA watoto, utakutana na Park is onGood Doctor (ni series ya kikorea inayo husu upasuaji wa watoto - Pediatrics surgery)
Sent from my itel it1407 using JamiiForums mobile app
Hakuna shida muhimu jina nmepata nitatafutaWatakuwa nayo wauza cd, mm niliipata nikiwa Dom
OK..Hakuna shida muhimu jina nmepata nitatafuta
Ikishatokea hii tunafanyaje kupakua seriesView attachment 372624
View attachment 372624 View attachment 372625
Hakuna hiyo kitu unayosema na hii site haiitaji Password wala username, appearance ni kama nilivyo attach.
Nami pia yametokea hayo maandishi ya kiarabu, sasa tunafanyaje mkuu?View attachment 372624
View attachment 372624 View attachment 372625
Hakuna hiyo kitu unayosema na hii site haiitaji Password wala username, appearance ni kama nilivyo attach.
Tafuta ER ...Habari wakuu....
kwa wale wafatiliaji wa series/season,binafsi mimi ni mfatiliaji wa season tena hasa napenda season zinazohushisha sana mambo ya afya mfano mzuri series ya kikorea iitwayo DOCTOR STRANGER hii series ni best kwangu sababu kubwa ni kwakuwa inahusu mambo ya afya.
Series gani nyingine mnazozijua wazee ambazo zinahusu mambo ya afya na ni nzuri ambazo muangaliaji hawezi kuchoka kutazama....?
Ahsanteni.
Good doctor nzuri sana hii seriesGood Doctor (ni series ya kikorea inayo husu upasuaji wa watoto - Pediatrics surgery)
Sent from my itel it1407 using JamiiForums mobile app
Bas wewe huu mjadala haukufai kabisaaaaaaMie ni mvivu saana kufuatilia series zinakua ndefu mno zinaniboa sana
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Nitumie link broSame taste,
Check also Agent X, The Event, Legends of Tomorrow(huku wapo Schofield na Lincoline wa prison break)
Mi ninashida naye kweli naomba contact zake ili tuwasilliane,mi napatikana kwenye 0767506704 niunganishe naye mkuuShikamoo wakubwa jaman kuna bint anatafuta kazi ya ndan sehem yoyote yupo tayar kwenda ila ye yupo mbeya ni bint mwenye umri wa miaka 20 kutokana na ugum wa maisha ktk family hivyo kwa anaetafuta maichana yupo