Akilibandia
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 478
- 637
Kwa series za kuhusu mambo ya afya,Grey's anatomy inaongoza napia Kuna hii mpya inaitwa Chicago MD,
Inahusu nn hiyo?Queen of the South inalekea kuwa nzuri
Kaka inaleta sehem kuna maandishi ya kiarabu, naona kama username na password vinahitajikaIndex of /Korean/Hong Gil Dong/
Pakua hii hapo juu
Nyingine nyingi za kikorea pakua hapa chini
Index of /Korean/
Kaka inaleta sehem kuna maandishi ya kiarabu, naona kama username na password vinahitajika
Inahusu nn hiyo?
Inazidi kushika Kasi kwa kweli. "Cast" wamechaguliwa kwelikweli.Queen of the South inalekea kuwa nzuri
Banshee mwisho wa matatizoWadau mambo vipi mda huu
Ni series gani zilizotoka current nzuri kuangalia, ziwe na action na story nzuri kama power au banshee
nimeishia season 2 .....vp yule shoga alikufa maana ndo alikuwa kikwazo cha mimi kuendelea nayoBanshee mwisho wa matatizo
Tafuta series ya GREY'S ANATOMY ni full udaktary na surgery itakujenga kiufahamu sana wa Afyah japo nindefu kidogo.Habari wakuu....
kwa wale wafatiliaji wa series/season,binafsi mimi ni mfatiliaji wa season tena hasa napenda season zinazohushisha sana mambo ya afya mfano mzuri series ya kikorea iitwayo DOCTOR STRANGER hii series ni best kwangu sababu kubwa ni kwakuwa inahusu mambo ya afya.
Series gani nyingine mnazozijua wazee ambazo zinahusu mambo ya afya na ni nzuri ambazo muangaliaji hawezi kuchoka kutazama....?
Ahsanteni.
TAFUTA FRINGE.Habari wakuu....

Game Of ThromeGame Of Throme
Je umeziona Mistress,If loving you is wrong?Mie mfatiliaji lkn za mapenz tuuu