Mbn hii website inazingua mkuuIndex of /Korean/Hong Gil Dong/
Pakua hii hapo juu
Nyingine nyingi za kikorea pakua hapa chini
Index of /Korean/
Naipataje mdau me ni nakubali hizo series share website kwa faida yangu na wengine watakaohitajiTafuta Series ya "BOURNE IDENTITY" ni ya Kizungu lakini ni nzuri sana. Ni spy movie na haina mambo ya James Bond.
The stray cat au?Nam nataka lagata naipataje
tafuta GOODDOCTORHabari wakuu....
kwa wale wafatiliaji wa series/season,binafsi mimi ni mfatiliaji wa season tena hasa napenda season zinazohushisha sana mambo ya afya mfano mzuri series ya kikorea iitwayo DOCTOR STRANGER hii series ni best kwangu sababu kubwa ni kwakuwa inahusu mambo ya afya.
Series gani nyingine mnazozijua wazee ambazo zinahusu mambo ya afya na ni nzuri ambazo muangaliaji hawezi kuchoka kutazama....?
Ahsanteni.
Ni kweli aseee ukibonyeza tuu unayotaka kupakua utakutana na kiarabuKaka inaleta sehem kuna maandishi ya kiarabu, naona kama username na password vinahitajika

Weka linki tujipakulie mkuu.Good Doctor (ni series ya kikorea inayo husu upasuaji wa watoto - Pediatrics surgery)
Sent from my itel it1407 using JamiiForums mobile app
Mkuu kuna jamaa alikuwa anauza dvd nikaikuta hiyo. Ebwana unaweza usilale. Natafuta kwa wauza cd na ukiipata nijuze.Naipataje mdau me ni nakubali hizo series share website kwa faida yangu na wengine watakaohitaji