Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Tuwafate huko huko.Duh!sasa tufanyaje bibie?

Tuwafate huko huko.Duh!sasa tufanyaje bibie?

,nlskia hivo ila coz namuelewa Sanaa ntafatilia sana story interview na info kiundan hazina ukweli hivi shonga anaweza kuwa strong kivile shoga anaweza kukimbia kias kile jmn kama hakuna uhakika wa hiyo kitu tu mchunie manake wa bongo
Theodore,,,ninachompendea ni mjanja sana na mda wwte afanya UsalitiTheodore bagwell the convict hiki chuma kitata sana hakiaminiki kinafiki kikatili kijanja ooh t bag ni noma.
Offcoz upo real man yawezekana ni kutangaza ushoga kutokana na ustaa sake
Mkuu umenikumbusha mbalii sana,,grichen dada katili wa kimya kimya ambaye mtoto wake anajua kwamba yy ni dada akeAlikuwa jela kumbuka alitaka kutoroka na Sarah ikashindikana grichen morgan mpambanaji sana alizaa na general kruntz kile kibint Emile
T Bag ..!!
Huyu jamaa hawajawah kupendana na Michael ila kuna kipindi ilibidi wategemeane ili kukamilisha mambo ..!!
Hiv yule mdada mwenye macho ya paka, yupo au alikufa ..?!
Yaah!anamuita aunt waqt ni mama yake kumbuka tbag alipokuwa pale mpaka akaja kutekwa na Panama yule mlinzi wa general aliejifanya mchungaji.Mkuu umenikumbusha mbalii sana,,grichen dada katili wa kimya kimya ambaye mtoto wake anajua kwamba yy ni dada ake
Ohooo!maana nimeshindwa kukuelewa unaposema huwezi ndo nikauliza tufanze vipi? basi haya tuanze safari lini?Tuwafate huko huko.![]()
Kwa kua 'siwezi kusubiri' tuanze safari kesho asubuhi na mapema.Ohooo!maana nimeshindwa kukuelewa unaposema huwezi ndo nikauliza tufanze vipi? basi haya tuanze safari lini?
mtuwekee na link kuona hyo series 5..
Duh!hiyo hamu si mchezo basi neno lako ni amri kwangu nimekubali swafar ianze kesho.Kwa kua 'siwezi kusubiri' tuanze safari kesho asubuhi na mapema.
jamaa walitutesa sana na hii kituKwani mbali? Watu tumesubiri game of thrones kwa mwaka mzima![]()
![]()
![]()

Link mkuuUnakata link au empire yenyewe ?
Link mkuuUnakata link au empire yenyewe ?