Nobody loves me
Member
- May 12, 2016
- 20
- 9
Merlin... Wazeee nani anajua season 6 ya merlin inatoka lini ???
Duu! hizo kitu ni balaa!Angalia hizi Into the Badlands, Banshee, Game of throne, Strike back, Breaking Bad, Homeland, Gotham, Narcos, Daredevil, Walking Dead
Mbna 24 imendelea hapa
Hii series nikivyoiangalia sikuangalia nyingine tena... Kwa sababu naamini hakuna series tamu itakayoipita hii hapa...
ushawai kuona seriez inaitwa KYRE XY basi kuna jamaa anaitwa MATTY DALLAS nilipoambiwa shoga sikuamini nikasema anasingiziwa mpk siku alipotangaza ameoolewa nikachoka kutokana jinsi alivyoigiza katika KYLE XY aisee huwezi amini kabisa mashoga wa mberehasa waigizaji wanakuwa strong na Smart fully sixpack,nlskia hivo ila coz namuelewa Sanaa ntafatilia sana story interview na info kiundan hazina ukweli hivi shonga anaweza kuwa strong kivile shoga anaweza kukimbia kias kile jmn kama hakuna uhakika wa hiyo kitu tu mchunie manake wa bongo
Kwani wewe ndo Unamla ... Kama Akiwa Shoga Ww inakuathiri Vipi.. Alikuwa Hivyo hata Kabla Season 1 haijatoka leo kajitangaza Eti HumuangaliiJamaa CHOCCO sitaki tena series zake
Na lile kaburi alifukiwa nani?Teh inaonesha hakufa pale ile short ilimzima tu akajikuta back on prison again aiseee naham na t bag sana ila blad barick asingekufa ingekuwa hatareee jaman ile series imesukwa sana hii inamember wapya wachache hot saaana
Duh!sasa tufanyaje bibie?Cant wait