Series (Special thread)

Series (Special thread)

Blind spot imekuwa nzuri sana

Person of Interest imekuwa poa pia ila tatizo haioneshi Samaritan wanafanya nini

Americans imefanya vibaya sana mwishoni maana hakuna mission yoyote ile
 
Kipindi hiki series nyingi zinaelekea ukingoni kama hizi Arrow, Flash, Vampire Diaries,The Original, Gotham, Banshee The 100 na nyingine nyingi
 
Oyooo wakuuu. Get ready June 12 kitu hicho kinashushwa.
 
Attachments

  • The Last Ship’ Renewed For Season 3 By TNT.jpg
    The Last Ship’ Renewed For Season 3 By TNT.jpg
    80.2 KB · Views: 59
Blind spot imekuwa nzuri sana

Person of Interest imekuwa poa pia ila tatizo haioneshi Samaritan wanafanya nini

Americans imefanya vibaya sana mwishoni maana hakuna mission yoyote ile
Mwishoni season 3 ...!!??
 
Korean drama.. #SixFlyingDragon #Vampireprosecuter
#LoveToKill
#ReturnOfIljimae
#Iljimae
#hero
 
Blind spot imekuwa nzuri sana

Person of Interest imekuwa poa pia ila tatizo haioneshi Samaritan wanafanya nini

Americans imefanya vibaya sana mwishoni maana hakuna mission yoyote ile

sio kweli hapo kwenye Americans coz inatakiwa ujue theme yake ni kuhusu familia zaidi kuliko hizo espionage so mimi naona wamefikia patamu ingawa episode 9 bado sijaiangalia ndio naipakuwa leo
 
naona jon snow amerudi kwenye harakati zake i cant wait so see how winter-fell inavyofall na kurudi mikononi mwa Stark huku Ramsey Bolton atakavyopata tabu..

Ramsey Bolton ana wanajeshi 5,000 vs
castle black + wilding 3,000 solders +wataungana na House Greyjoy kutokana na alichofanyiwa Theon 5,000 solders +wataungana na watu wa Stannis Beratheon kule Dragonstone more than 2,000 solders

so unaona kabisa ni jinsi gani ambavyo winter fell itakavyo fall
 
Huyu ni mmoja wa mlinzi wa obama...kwa wale wapenzi wa homeland huyu dada kafanana sana na carrie Mattson
 
Attachments

  • 1463431255990.jpg
    1463431255990.jpg
    45.4 KB · Views: 67
naona jon snow amerudi kwenye harakati zake i cant wait so see how winter-fell inavyofall na kurudi mikononi mwa Stark huku Ramsey Bolton atakavyopata tabu..

Ramsey Bolton ana wanajeshi 5,000 vs
castle black + wilding 3,000 solders +wataungana na House Greyjoy kutokana na alichofanyiwa Theon 5,000 solders +wataungana na watu wa Stannis Beratheon kule Dragonstone more than 2,000 solders

so unaona kabisa ni jinsi gani ambavyo winter fell itakavyo fall

Ramsey anaakiri sana usishangae ikawa ngumu kumtoa winter fell nataka nione Brandon stark atafanya nini na ability zake!
 
Wengi wenu mtakua bado wanafunzi wa chuo...sap kibao
mimi mbona chuo nlimaliza mwaka 2009 na sasa hivi ni muajiriwa wa shirika moja kubwa sana la hifadhi ya jamii na pia ni mjasiriamali ambaye nina ndoto lukuki

kuangalia movies na serie ni starehe sawa na starehe nyingine na haijalishi umri wala position uliyokuwa nayo
napenda sana movies na series sababu ndio zilizoniondoa kwenye matumizi ya pombe kupitiliza(addicted) na sasa nakunywa pombe kiasi (one for the lord) na muda mwingi wa ziada nautumia kwenye kuangalia movies na kushughulika katika shughuli za kimaendeleo.

mbona na wewe ni mgeni sana hapa JF,hapo na sisi tuseme nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom