Series (Special thread)

Series (Special thread)

T Bag ..!!

Huyu jamaa hawajawah kupendana na Michael ila kuna kipindi ilibidi wategemeane ili kukamilisha mambo ..!!

Hiv yule mdada mwenye macho ya paka, yupo au alikufa ..?!
 
T Bag ..!!

Huyu jamaa hawajawah kupendana na Michael ila kuna kipindi ilibidi wategemeane ili kukamilisha mambo ..!!

Hiv yule mdada mwenye macho ya paka, yupo au alikufa ..?!
Alikuwa jela kumbuka alitaka kutoroka na Sarah ikashindikana grichen morgan mpambanaji sana alizaa na general kruntz kile kibint Emile
 
Noumaaa, naisubiri kwa hamu, ila habari za Michael ... Hua zina ni vunja nguvu kw kweli
 
Teh inaonesha hakufa pale ile short ilimzima tu akajikuta back on prison again aiseee naham na t bag sana ila blad barick asingekufa ingekuwa hatareee jaman ile series imesukwa sana hii inamember wapya wachache hot saaana
Daaah Mkuu ebu nidokeze the mkulu, kubwa la madui, the Intel man Alexander Mahone yumo???
 
Jaman mwenye STRIKE BACK,,hii series nmetafuta sijapata,,please ni pm kwa yeyote nipo temeke taifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom