Series (Special thread)

Series (Special thread)

Yaan tangu niskie issue zake za kuliwa mkund* yaan simfeel tena sconlfield. Najiwaziaga tu hapa Jack Bour nae akijitangaza analiwa....ntamind kiasi gan...dah! Poa lakin..!
Hahahahaaa
Uzuri kwenye prison break anae liwa kiboga ni Wentworth Miller na sio Michael Scofield.
Kama ilivyo kwenye Empire na zingine.
 
,nlskia hivo ila coz namuelewa Sanaa ntafatilia sana story interview na info kiundan hazina ukweli hivi shonga anaweza kuwa strong kivile shoga anaweza kukimbia kias kile jmn kama hakuna uhakika wa hiyo kitu tu mchunie manake wa bongo

bro vunga ujue unatetea ushOga ati¿¿¿¿ wewe itazame kimya kimya tu....
 

Attachments

  • 1463748666641.jpg
    1463748666641.jpg
    7.5 KB · Views: 79
Hii series nikivyoiangalia sikuangalia nyingine tena... Kwa sababu naamini hakuna series tamu itakayoipita hii hapa...
Kweli mdau sana Tuuu ilakilichoniumiza walikoseasana kuwa toa wale washiriki wakwanza kbsa waliotoroka gerezani wale walikuwa kila kitu kumbuka wengi walikufa
 
kama ni kweli mambo mazuri hakika ni bonge la burudani lakini kuhusu scofield kuwa shoga hapo napata hofu,mambo ya sucre na T-bagwell Uhondo mtupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom