Series (Special thread)

Series (Special thread)

Baba ni tamu balaa, huyu dem bana, wameiba pesa ndefu sana yeye na bf wake halafu jamaa akamtoroka hotelini, wametangazwa kwenye vyombo vya habari FBI wanamtafuta na wasakara wanamsaka hawaelewi kabisa ila dada ana mbinu vibaya mno walianza umafia akiwa mdogo na mshua wake amabaye kwa sasa yuko gerezani, KWAHIVYO mpaka sasa hakuna alofanikiwa kumnasa! Nimeishia episode ya 2 aisee itoke ya 3… now nipo naendelea na Rise or die naye huyu bibi hachekeshi!🙌🏾
Nilikuwa nimeidownload episode 1 ili niitest kama watu wanavyoipaisha ila kwa maelezo yako haya yamenivutia na umenifanya nikawatch
 
Kama uliipenda the furious hii nayo pita nayo



Link ni 1080p ina gb 2 tu ndogo mno
1000037148.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom