Series (Special thread)

Series (Special thread)

images.jpeg

Ipo vizuri sana.
 
Hapana hii ipo vizuri ni vile jamaa hawapendi wakorea. Hii series iko na u serious sana hakuna kucheka ovyo humo wewe maliza episode zote alafu njoo utoe mrejesho humu ninachokuambia
Mimi nimeangalia hadi episode ya 7 nimeishia tu dakika za katikati pale ambapo jamaa amepewa task nyingine baada ya kufanyiwa torture kama mtihani wa kumpima anaweza kutoa siri.
 
So tuachane nayo?
Hapana, kila mtu na anavyoona.

Inaweza kukuvutia, hata mimi sio kama sijaiangalia kabisa.

Ina story nzuri na mpangilio wa matukio ila sehemu moja ambayo imenikata stimu ni lile lile tatizo la kiasili kwa wa Asia.

Ila inavumilika hata mimi mwenyewe licha ya hizo mbanga ila naweza kuiangalia yote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom