Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,094
- 129,239
Hiyo The husband nayo niliona ina sweep kwenye panel ya trending nikaikaushia.Hiyo series ni Kali hasa kuanzia episode ya 2 kwendelea ndio utamu unanoga na Kuna nyingine imetoka mwaka huu inaitwa The Husband weka kwenye list yako nayo ni ya kikorea wakati wapo kwenye ndoa yenye mgogoro so jamaa anaamua kuomba talaka kwa mkewe wakati sakata ndio linapamba moto mkewe anatekwa na mtekaji anaambiwa apeleke kiasi kikubwa cha fedha hajakaa vizuri Police wanamkamata kwa kesi yeye kuhusika kuwa ndio amemteka mkewe na mazingira yote yanaonesha hivyo ingawa hajafanya
Ngoja nikomae na hili pin, hili ndio litanipa mwelekeo kama naweza kuendelea kuangalia na zingine au nitahitimisha kuwa Korean series ni wazugaji.