Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,740
- 32,127
Mwenyew nazipenda sana hizi kuna zaidi uziandike hapa chini tuweze kufaidika wote?Aaanha ndio mambo yangu hayoooo, zipo nyingi sana
Mwenyew nazipenda sana hizi kuna zaidi uziandike hapa chini tuweze kufaidika wote?Aaanha ndio mambo yangu hayoooo, zipo nyingi sana
wakuu nipe series ambazo zina story ya matukio yaliowahi kutokea apart from Narcos,Yellowstone, chernobyl,snowfall
kinaitwa Ariana greenblat, ukimcheki kuna movie moja inaitwa 65 alikuwa mdogo,Now you see me. Now you dont.. kuna kapisi flani hivi dizaini kanavutia kukaangalia!
View attachment 3524038
Anavutia sana kumuangaliakinaitwa Ariana greenblat, ukimcheki kuna movie moja inaitwa 65 alikuwa mdogo,
Kuna BMF, Peaky blinders,Queen of the south, El chapo
Sana mkuuAnavutia sana kumuangalia
Aah bana.. kweli!!?Nilikua sijawahi kuangalia La La Land, ndo nimeimaliza leo.. ni nzuri ila sio km watu wanavyoizungumzia.
Highly overrated kwa upande wangu.
Inahusu niniSeries mpya Run Away ”seeing is believing”
Ndio naiangalia hapa, so far ni binti alipotea na wazazi wake wanajuhudi ya kumtafuta bila mafanikio, babaake anasingiziwa kesi ya mauaji ya kijana aliyemkuta na bintiye hapo mwanzo na kumdunda vibaya sana mbele ya watu! Kijana baadaye aliuliwa na aliyemuua hajulikani! Kesi inabaki kwa baba mtuInahusu nini
Inaonekana ni nzuriNdio naiangalia hapa, so far ni binti alipotea na wazazi wake wanajuhudi ya kumtafuta bila mafanikio, babaake anasingiziwa kesi ya mauaji ya kijana aliyemkuta na bintiye hapo mwanzo na kumdunda vibaya sana mbele ya watu! Kijana baadaye aliuliwa na aliyemuua hajulikani! Kesi inabaki kwa baba mtu
HatariiInaonekana ni nzuri
Ni nzuri mbona. Worth watching!Aah bana.. kweli!!?
Mbona iko kwenye My Downloads.. ila bado sijaicheck
Vitu vya peponi hivi mtoto una mlamba kuanzia unyayoni hadi __Now you see me. Now you dont.. kuna kapisi flani hivi dizaini kanavutia kukaangalia!
View attachment 3524038
TUsubirie hijack tarehe 14 mwezi huSeries nilizo futa.
1. Nero the assassin (hii ilianza vizuri na mazingira waliyochagua yanavutia sana ila Kuna vitu sikuvipenda nimeishia episode 2
2. Monster(japo Ina scenes za damu damu ambazo kimsingi ni nzuri ila sikuielewa wapi inanipeleka) nimeishia episode 3
HIi monster nitakuja kujilazimisha niangalie season 1 nzima huko baadae
Wataleta ULE unaa wao wa episode Moja Moja Kila baada ya wiki? 😁😁😁TUsubirie hijack tarehe 14 mwezi hu
Hii kwenye NiniView attachment 3524179
Pennywise alijichanganya sana hapa