Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 27,119
- 78,845
Hizi naenjoy zaidi nikiwa mwenyewe!Achana nayo njoo hii ya chini ila usiwe peke yako plzz uwe na mtu pembeni
Jamani hii the L word hmmm inaaanza tu visauti loh🤭
Hizi naenjoy zaidi nikiwa mwenyewe!Achana nayo njoo hii ya chini ila usiwe peke yako plzz uwe na mtu pembeni
Duh ushaidownlod tayari dah mie uwaga natizama na mke wangu nikitazama mwenyewe naumia mno😄😁Hizi naenjoy zaidi nikiwa mwenyewe!
Jamani hii the L word hmmm inaaanza tu visauti loh🤭
KumbeeWakuu jana nilikua mlimani city nilienda kucheki huu mzigo wa NOLAN.
Mzigo mkali sana kuanzia story, action, soundtrack yake balaa sana
Kama unataka kuangalia huu mzigo nakushauri anza kuangalia TROY(2004), utapata story kwa mtiririko mzuri
Naistream tu kudownlod ni kazi jamani! Wewe ni sawa mimi najikaza tu mwenyewe🤣Duh ushaidownlod tayari dah mie uwaga natizama na mke wangu nikitazama mwenyewe naumia mno😄😁
Natamani kuiona hii imeongelewa sana!Wakuu jana nilikua mlimani city nilienda kucheki huu mzigo wa NOLAN.
Mzigo mkali sana kuanzia story, action, soundtrack yake balaa sana
Kama unataka kuangalia huu mzigo nakushauri anza kuangalia TROY(2004), utapata story kwa mtiririko mzuri
Duh eeeh haujalowa kweli hapo😄😁Naistream tu kudownlod ni kazi jamani! Wewe ni sawa mimi najikaza tu mwenyewe🤣
Bado bado🤣Duh eeeh haujalowa kweli hapo😄😁
😄😁😁😁 mie nipo nasikiliza miziki tu hapaBado bado🤣
Mimi leo Sina mood ya mziki, movies tu na hiki kihali cha hewa, burudani kabisa🤸🏽♀️☺️😄😁😁😁 mie nipo nasikiliza miziki tu hapa
mie baadae ndio naanza kutizama movieMimi leo Sina mood ya mziki, movies tu na hiki kihali cha hewa, burudani kabisa🤸🏽♀️☺️
Enjoy siku yako!😊mie baadae ndio naanza kutizama movie
Thanks 😍Enjoy siku yako!😊
Hiyo Orange Ukiangalia S 01 Episode 3 tu ..utashtuka upo S 05 ghafla ..Good story 🔥Kama nishaichek, ntakupa mrejesho, ila hiyo ya kwanza jamani ina season zinafika 7😳
Hii nilikosa yenye audio ya kingereza nikaachana nayoView attachment 3632982
French hapa walinirudisha zama za Into the Badlands
Tumia subtitles tu hakun namnaHii nilikosa yenye audio ya kingereza nikaachana nayo
Hii ndo sababu sipendi kuangalia movie/series za kikorea