Series (Special thread)

Series (Special thread)

Single Movie: NEGLECTED

Mzee ambaye amestaafu kwenye kazi ya police wakati yupo kwenye kuenjoy na pension yake ya kuretire siku za mwanzoni anapata taarifa kuwa Kuna kijana amefanya mauaji kwenye kituo cha police alichokuwa anafanya kazi na akajisalimisha kwenye hiko hiko kituo na kutaka mahojiano asifanyiwe na mtu yoyote zaidi ya hiyo Mzee so Mzee anajikuta anakatisha mapunziko yake ya kuenjoy na pension bila kupenda ili akatoe huo msaada.

Wakati Mzee akiwa anafanya mahojiano na huyo kijana kama alivyotaka huyo kijana anaambiwa na huyo kijana kuwa nimemteka mtoto wako ili ampate mtoto wake anatakiwa asolve case za mauaji ya watu watatu ambayo yalishafanywa na huyo huyo kijana katika miji mitatu tofauti ndani ya masaa kumi ili ajue hiyo miwili iko wapi? na aina gani ya silaha zilizotumika kuua? Mzee anakazi kubwa ya kufanya kwa kweli we unafikiri Nini kitaendelea don't miss to watch this movie.
Scars
 
images.webp

Hatari na nusu 🔥. Imeachiwa leo na leoleo nimeichukua😂. Mzigo hadi sasa una episodes mbili zote zamoto.
 
Tangu mwezi jana nilikuwa naiona hii ila niliamua kuipotezea kwasababu ya wakorea kuzidisha masihara kwenye scenes zao.
1784136553106.png

Kuna jamaa anaitwa Rahul huko IG kanifanyia recap ya hii series ambayo ikanifanya nipende idea. Nikaamua niicheki wakati nasubiria game ya baadaye.

Mr Q, Vincenzo Jr sijui kama mmeicheki ila nataambaa nayo hivyo hivyo ikiniletea alosto naifungia busta kesho naimaliza. Japo zinaendelea kutoka na mpaka sasa zilizokamilika ni episode 6.
 
Tangu mwezi jana nilikuwa naiona hii ila niliamua kuipotezea kwasababu ya wakorea kuzidisha masihara kwenye scenes zao.
View attachment 3629773

Naam ngoja niidownload hapa kaka kesho nipate cha kutazama kazini mida ya jionii nikipata na sigara yangu ya winston taratibuuu😎😎
 
Tangu mwezi jana nilikuwa naiona hii ila niliamua kuipotezea kwasababu ya wakorea kuzidisha masihara kwenye scenes zao.
View attachment 3629773

Kuna jamaa anaitwa Rahul huko IG kanifanyia recap ya hii series ambayo ikanifanya nipende idea. Nikaamua niicheki wakati nasubiria game ya baadaye.

Mr Q, Vincenzo Jr sijui kama mmeicheki ila nataambaa nayo hivyo hivyo ikiniletea alosto naifungia busta kesho naimaliza. Japo zinaendelea kutoka na mpaka sasa zilizokamilika ni episode 6.
Hiyo series ni Kali hasa kuanzia episode ya 2 kwendelea ndio utamu unanoga na Kuna nyingine imetoka mwaka huu inaitwa The Husband weka kwenye list yako nayo ni ya kikorea wakati wapo kwenye ndoa yenye mgogoro so jamaa anaamua kuomba talaka kwa mkewe wakati sakata ndio linapamba moto mkewe anatekwa na mtekaji anaambiwa apeleke kiasi kikubwa cha fedha hajakaa vizuri Police wanamkamata kwa kesi yeye kuhusika kuwa ndio amemteka mkewe na mazingira yote yanaonesha hivyo ingawa hajafanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom