Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,232
- 79,756
Exactly 💯 ndio maana huwa naichekigi usiku mkuuMtiti ukiiangalia mchana kwenye mwanga huoni kitu![]()

Tusubiri season 5 Verse 2 iyo tarehe 25Exactlyndio maana huwa naichekigi usiku mkuu
Watatupa Tena vipande 4 😎 afu ndio mpaka mwaka mpya Tena 😂Tusubiri season 5 Verse 2 iyo tarehe 25
Huyu mtoto mzuri sana wallahiVincenzo Jr unavyomkubali huyu mtoto najua utakuwa ushaiona 😁View attachment 3512550
Ni ya muda gani?The Hate U Give
Kijana mmoja (17)akiwa anamrudisha rafiki yake wa kike (16) nyumbani baada ya kutoka kwenye house party wote ni wa marekani weusi njiani wanasimamishwa na askari kukaguliwa lesseni yake ila kipindi askari wanakagua lesseni yule wa kike aliweka mikono yake mbele ya gari na kumsihi mwezake afanye hivyo ila ujuaji na sifa hakusikia na akawa anatoa kitana achane nywele zake ila polisi wakajua anatoa bastola hivyo wakampiga risasi na kufa, cha kushangaza yule askari aliyemuua hakuchukuliwa hatia yoyote hivyo yule binti na kundi kubwa la wamerakani weusi wakaanzisha maandamano ili askari ashatakiwe na maauaji ya askari kwa watu weusi yatokomezwe.
Movie ni nzuri sana kama hujaicheki itafute uicheki, aliyetengeneza movie anasema alitoa stori kwa Tupac na jina ni kirefu cha neno THUG kwenye Thug life. Vincenzo Jr Carleen Mr Q Angel Nylon Dr. Mariposa Depal Seran Poker Mallerina Binti wa zamani Harmful Living Pablo
2hrs na dakika kama kumiNi ya muda gani?
2hrs or sth? Niibukie nikishashiba
😀😀Ni ya muda gani?
2hrs or sth? Niibukie nikishashiba
THUG LIFE,The Hate U Give

Shukrani kwa suggestion mkuu, sikujutia muda wangu..!🔥 🔥
umeanza faino ya Bel-air ama unasubiri waimalize kwanza..!?Ni ya muda gani?
2hrs or sth? Niibukie nikishashiba
Wacha niangalie sasa…2hrs na dakika kama kumi
Cheka ukimaliza beba wenzako msogee Mianzini. Nna shida na off ya kesho 😁
Wacha waimalize kwanza.. Sitaki arostoumeanza faino ya Bel-air ama unasubiri waimalize kwanza..!?
Hapa sasa umeshiba hata reply imekaa kishibe shibe😁Wacha niangalie sasa…