Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,981
- 46,680
Hata szn1 sicjaicheki ngoja niisakeHamsemi kama Season 3 imetoka
View attachment 3512204
Hata szn1 sicjaicheki ngoja niisakeHamsemi kama Season 3 imetoka
View attachment 3512204
kama kawa.. Mwanzo ninaona ni mzuri.. mama & daddy wanajibaluza hadi mtoto anachukua somo 😁Hapa sasa umeshiba hata reply imekaa kishibe shibe😁
😀😀😀Dah!Cheka ukimaliza beba wenzako msogee Mianzini. Nna shida na off ya kesho 😁
Producer katuliza akili hapa. Wenzetu wapo mbele mnooo 🤞
Mara nyingi niingia Netflix naikuta ipo juu. Ila ishanitia uvivu hata ku download season 5 sio maskharaSeries kalii sana hii
😁😁Wacha waimalize kwanza.. Sitaki arosto
Mtu unangoja kitu mudaaa hadi hamu zinakata.
Mfano Citadel, hadi waje kutoa S2 ushasahau vya S1 😁
We do Thuglife under YOLO..😂, Mchane mapema "we only live once" ila nataka nijue ni nini hicho ulichokula leo 😂
HUmu kuanzia story, script hadi actors wote wanajuaProducer katuliza akili hapa. Wenzetu wapo mbele mnooo 🤞
1. Truth or daredosho12 moja ya kulalia..
Anza mdogo mdogo 😎Mara nyingi niingia Netflix naikuta ipo juu. Ila ishanitia uvivu hata ku download season 5 sio maskharaView attachment 3512715
Ile ya ki norway au nyingineHilo limuvi linaitwa Troll 2 msipoteze MB zenu aisee, libayaaaaa😡la hovyooo la kijingaaaa, shit
Si Bora niidownload pilau tu nitazame na jilani yangu fetiHilo limuvi linaitwa Troll 2 msipoteze MB zenu aisee, libayaaaaa😡la hovyooo la kijingaaaa, shit
Ni ipi…1. Truth or dare
Group moja la marafiki walienda vacation na huko wakakutana na mtu mmoja akawambia wacheze mchezo unaitwa Truth or dare, wakakubali maana wapo kufurahia ila baada ya kurudi lile game likaanza kuwajia na kuwalazimisha wacheze la sivyo wanakufa
2. ITEFAQ ( kihindi)
jamaa mmoja anashukiwa kumuua mkewe na polisi wanakuja sehemu ya tukio ila jamaa anafanikiwa kuwatoroka na anaenda kwenye nyumba ambayo anakuta kuna maiti mke kaamua mumewe, wote wanakamatwa na polisi ila cha kushangza kila mtu anatoa stori yake tofauti, na maaaji yote mawili huenda yakawa na muunganiko hivyo muvi inaeleza ni nani aliyehusika na mauaji hayo
Hiyo ya pili 2018
Hiyo ya kinorway, wajinga wameona walete ma-giant yao yasiyovutia hata watotoIle ya ki norway au nyingine