Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,040
Wacha nijaribu kudownload niangalie badae maana nmezoea kuangalia online… afu jana nilisinzia kabla mnijibu 😂Hiyo ya pili 2018
Wacha nijaribu kudownload niangalie badae maana nmezoea kuangalia online… afu jana nilisinzia kabla mnijibu 😂Hiyo ya pili 2018
Pole mwaya download chapu kabla internet haijazimwaWacha nijaribu kudownload niangalie badae maana nmezoea kuangalia online… afu jana nilisinzia kabla mnijibu 😂
Nikimaliza downloading nazikuta wapi? Natumia movie box kudownloadPole mwaya download chapu kabla internet haijazimwa
Kama unapenda drama itazame kama haupendi drama piga chini mwayaKuna mtu ameshaangalia The Hunting Wives? Inafaa kuangaliwa au nitapoteza muda
Ya smart tv au simu?Nikimaliza downloading nazikuta wapi? Natumia movie box kudownload
Simu… kuipeleka kwa Tv nilishindwa ile siku.. leo nikiridi nitajaribu tenaYa smart tv au simu?
Enewei utaikuta pale sehemu ya download imepoaa utaitazama offlineSimu… kuipeleka kwa Tv nilishindwa ile siku.. leo nikiridi nitajaribu tena
Soon 😂 niongeze moja.. romanticEnewei utaikuta pale sehemu ya download imepoaa utaitazama offline
Hiyo one battle after another ilinichekesha ile opening scene mwana alivyoona mtoto kanyoooka sura nzuri akapata ashiki chapu mkonga ukasimama bidada akamwambia ainuke akiwa hivyo hivyo 😀😀
Romantic chukua hii akikisha uwe na ntu 😀😀 Fifty Shades of Grey
Fifty shades nilishaingalia 😂Romantic chukua hii akikisha uwe na ntu 😀😀 Fifty Shades of Grey
😂😂 Can’t wait watchingHiyo one battle after another ilinichekesha ile opening scene mwana alivyoona mtoto kanyoooka sura nzuri akapata ashiki chapu mkonga ukasimama bidada akamwambia ainuke akiwa hivyo hivyo 😀😀
umetazama 365 days..!??Fifty shades nilishaingalia 😂
Taja zingine
hizi nakumbuka nilianza kwa kusoma novel zake kwanza, na huwezi amini niliitazama movie yake moja tu..Romantic chukua hii akikisha uwe na ntu 😀😀 Fifty Shades of Grey
😂Achana na Carleen na Vincenzo Jr kaangalie hzi hapa ni nzuri 1. Perfect date ( 8.0) 2. In between (7.8) 3. Holidate (7.5)4. Clouds (8.1) 5. Me before you (8.5) 6. Purple Hearts (8.0) 9. The last Christmas (8.0) 10. The other Zoey (7.8)Fifty shades nilishaingalia 😂
Taja zingine
😅 taste ipi ulikuwa unataka ndugu yanguhizi nakumbuka nilianza kwa kusoma novel zake kwanza, na huwezi amini niliitazama movie yake moja tu..
sijui kwanini sikupata that ‘taste’ ya novel kwenye movie yake at all..!!🙌🏾
😀😀Cheki hiziFifty shades nilishaingalia 😂
Taja zingine
Umeshatazama kiss and kill yupo bidada mmoya hivi wa kuitwa kira noir sio powahizi nakumbuka nilianza kwa kusoma novel zake kwanza, na huwezi amini niliitazama movie yake moja tu..
sijui kwanini sikupata that ‘taste’ ya novel kwenye movie yake at all..!!🙌🏾
Kuna baadhi ya fantasy walitunyima walahi 😎😅 taste ipi ulikuwa unataka ndugu yangu