Naangalia unyama wa thomas shelbyNipo EP ya 9 sasa ni series kalii sana 🔥
Masta umepotea sana au ulikuwa kule Brazzers unawafumua kina Angela white na kira noir 😀😀Nimesota sana kumbe jf ipo mazei
Mimi sikujua kwamba unaweza ku access jf via vpn ujanja wangu wote huu,😀Masta umepotea sana au ulikuwa kule Brazzers unawafumua kina Angela white na kira noir 😀😀
Nimeangalia episode moja tu nikaikimbiaHii Pluribus mbona ngumu kuielewa aisee,
😀😀😀 UmejichanganyaHii Pluribus mbona ngumu kuielewa aisee,
Nmeingia sipo, huyu dada main character mwenyew anaonekana kama hamnazo😀😀😀 Umejichanganya
😀😀😀😀Nmeingia sipo, huyu dada main character mwenyew anaonekana kama hamnazo

Series kalii sana hiiHii Stranger Things imeishia patamu sanaView attachment 3511640
Bora kuzishusha tu maana Hawa wajinga hawakawii KUKATA internet
nipo natazama the beast in me, hiyo niliiona tu sema sikujua kama ni kali..!
mzee, umenikumbusha la muhimu mno, lemme do the needful aiseeeh’..!Bora kuzishusha tu maana Hawa wajinga hawakawii KUKATA internet
Kabisa kaka ndio maana Toka juzi nashusha movie na series hata wakizima internet nakuwa na mzigo wa kutosha wa kutazama na shemeji yakoBora kuzishusha tu maana Hawa wajinga hawakawii KUKATA internet
Fanya chapu maana wale jamaa hawana maana qmmke zao siwapendi hata kidogomzee, umenikumbusha la muhimu mno, lemme do the needful aiseeeh’..!
Mtiti ukiiangalia mchana kwenye mwanga huoni kituSeries kalii sana hii
