Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,743
Yupo yule mwana wa kwenye the Americans series
Yupo yule mwana wa kwenye the Americans series
Yeah, bila kumsahau Jonathan Banks yule wa kwenye Better call Saul au Breaking badYupo yule mwana wa kwenye the Americans series
Ngoja niitafute
Ngoja niitafute
niambie kama ni nzuri tafadhali..!!
Nzuri sana hiyo mwanangu 😎niambie kama ni nzuri tafadhali..!!
Ser Duncan the TallTukutane JanuaryView attachment 3486979
Ipi?Series kali
Hio Pluribus, ipo hadi episode ya 5.Ipi?
Yeah yeah Kali sana hiyoHio Pluribus, ipo hadi episode ya 5.
Director wake ndio yule wa Breaking Bad na Better call Saul
Nipo EP ya 9 sasa ni series kalii sana 🔥Hiyo plot twist iliyokua kwenye THE LAST FRONTIER sio mchezo pale unapoamini kwamba mchezo unaelekea mwishoni kumbe ndo kwanza wanaanza