FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,924
- 11,305
Napataje site ya kupakua?Kama uliipenda Landman season 1 basi season 2 episode 1 imeachiwa leo. Na huu ndio mkeka ninaoishi nao leo jioni😅
View attachment 3502726
Napataje site ya kupakua?Kama uliipenda Landman season 1 basi season 2 episode 1 imeachiwa leo. Na huu ndio mkeka ninaoishi nao leo jioni😅
View attachment 3502726
Pirate baysNapataje site ya kupakua?
Mtoto mzuri sana huyuHalafu unakuta kidume kinaigiza scene za kuliwa sumaku
View attachment 3505661View attachment 3505663
Materialist
Ya Korea au ile ya kizungu?Kuna hii manipulated nayo ni moto sana
Nahreel fundi sana yule upande wa kuimba na kutayarisha mangoma makaliNdugu zangu wapendwa,
Leo nimedamka natamani kuskiza playlist ya ‘you know what’s happening when Weusi meets Nahreel right’..!?
kiukweli namshukuru Mungu kuzaliwa era yenye ngoma tamu kama hizo, heshima yangu kwa Nahreel pia, yule kaka ni jini..!
kwa leo ni hilo tu, weekend njema..!!
Nilicheki cinema 🎥 🎥 🍿 🎥 Kali sana vipi wametoa hd yake?Hivi kuna alietazama Movie ya Predator :Badlands?
Bado naitafutaNilicheki cinema 🎥 🎥 🍿 🎥 Kali sana vipi wametoa hd yake?
Kuna movies zina rate ndogo ila ni mashine haswaaSasa iyo rate 8.2 IMDb imeipataje kama ni ya kawaida
Tumia pirate bay mkuuNapataje site ya kupakua?
Kaka au unaweza nitumia izo nikazipakua
Una mtu?Ndugu zangu wapendwa,
Leo nimedamka natamani kuskiza playlist ya ‘you know what’s happening when Weusi meets Nahreel right’..!?
kiukweli namshukuru Mungu kuzaliwa era yenye ngoma tamu kama hizo, heshima yangu kwa Nahreel pia, yule kaka ni jini..!
kwa leo ni hilo tu, weekend njema..!!
Mkuu ingia pirate bay utazikutaKaka au unaweza nitumia izo nikazipakua