Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,743
😅😅 Mkuu haupoi, Mayor of Kingstown episode ya 4 imetoka muda huu ushaishusha?.......ngoja na mimi niishushe
Naenda sambamba na mayor mike mzee wa oda series Kali sana hii 🔥😅😅 Mkuu haupoi, Mayor of Kingstown episode ya 4 imetoka muda huu ushaishusha?.......ngoja na mimi niishushe
Mkuu wa gereza wa sasahivi ni Gangstar kuliko Mike, ngoja tuone itakuajeNaenda sambamba na mayor mike mzee wa oda series Kali sana hii 🔥
Exactly 💯 ila mike anaweza kutoboa maana alisema atakaye mgusa ndugu yake ataruka naeMkuu wa gereza wa sasahivi ni Gangstar kuliko Mike, ngoja tuone itakuaje
Siku ya kwanza mdogo wake anaingia jela kuna yule mzee wapo sero za karibu akampa sigara 😅😅, nikajua mdogo wake Mike anaweza kuombwa muda wowoteExactly 💯 ila mike anaweza kutoboa maana alisema atakaye mgusa ndugu yake ataruka nae
😃😃😃😃😃😃Siku ya kwanza mdogo wake anaingia jela kuna yule mzee wapo sero za karibu akampa sigara 😅😅, nikajua mdogo wake Mike anaweza kuombwa muda wowote
Nimeicheki juzi kati na Kali sanaHivi Frankenstein mmeiona??
Nimeipenda saana
Kazi ya kwenda....Nimeicheki juzi kati na Kali sana
Ipo fresh kama unapenda espionage brotherKazi ya kwenda....
Ameture? Je
Mwamba Aliamua kuacha yote kupeleleza kesi mwenyewe paka akawinIpo fresh kama unapenda espionage brother
Exactly 💯Last Samurai standing inafanana sana na Squid Game.
Mbna nipo naangalia hapa npo episode ya tatu ,,ni series ya kawaida tu sio vile inazungumziwaKuna hii manipulated nayo ni moto sana
Shukran sana
Sasa iyo rate 8.2 IMDb imeipataje kama ni ya kawaidaMbna nipo naangalia hapa npo episode ya tatu ,,ni series ya kawaida tu sio vile inazungumziwa