Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,596
- 81,043
Ni yenyewe mkuu sema kalii sana 🔥 😀 😀Hyo ya pili ya ed gein itakuwa kama ya jeffrey Dahmer, maana jamaa anafahamika kwa muaji, marekani wanapenda kuwapa sifa wauwaji, wanawatengenezea na story kwamba tuwaonee huruma