Series (Special thread)

Series (Special thread)

Screenshot_20251105-083032.jpg
Screenshot_20251105-082945.jpg

Movie na series kalii zilizofika online 😎 Cc Carleen Mr Q if cap fits dosho12

Anza na hiyo series ya kuitwa watching you 😃
 
Wanangu huko mlipo mmenusurika dosho12 if cap fits Mr Q Angel Nylon Depal Carleen Lovelovie
Huku nilipo mwenzenu nilikuwa sikai sebuleni Kila muda sauti za risasi aisee😭
Pole sana japo nimecheka. Aisee haya mambo yaskie tu kwa wenzio au tutaone tu kwenye movie. Yakija live ndio utajua kuwa amani muhimu hata kama unakula ugali na chumvi. Wengine tumesalimika. Tuliathirika na huko kukosa mawasiliano na kusizi kwa shughuli muhimu
 
Wanangu huko mlipo mmenusurika dosho12 if cap fits Mr Q Angel Nylon Depal Carleen Lovelovie
Huku nilipo mwenzenu nilikuwa sikai sebuleni Kila muda sauti za risasi aisee😭
nipo salama namshukuru Mungu Vinnie, ila ukweli ni kwamba moyo wangu unavuja damu, nimekutana na hizo clip za maiti na majeraha ya risasi nyiiingi, nimeumia mno mno kwa yaliyotokea…
unapigaje risasi watu wanaokimbia tena hawana hata silaha..!??
ni bora haya mambo yaishie kwenye movie ila kiukhalisia inaumiza sana kuua binadamu wenzako vile kama kuku wa kafara..!
 
Pole sana mwanangu hata mie nimeumia sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom