Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,211
- 79,685
Masta alikuwa anatomasa simu ikaita 😃😃Mzee wa scene😂😂😂
Masta alikuwa anatomasa simu ikaita 😃😃Mzee wa scene😂😂😂
😂😂 subiri tu miaka sita sio mingi mbonaView attachment 3489781
Huu UJINGA ndo siutakagi naombeni direct link
Mkuu! Umeshusha kutoka site gani kaka?Mi mwenyewe nimemaliza kuzishusha nowView attachment 3487927
Mkuu! Umeshusha kutoka site gani kaka?
😃😃😃😂😂 subiri tu miaka sita sio mingi mbona
Brother hapo tumia onstream au movie box utaikuta hii movie kama network yako tamu hapo inaingiakwa dakika 2 tu kwenye simu kwa app hizo nilizosemaView attachment 3489781
Huu UJINGA ndo siutakagi naombeni direct link
Bado ila ipo kwenye radarHii series mnaifatilia?
View attachment 3490805
Isake kaka series Kali sana hiiBado ila ipo kwenye radar
Tarehe 25 brotherHuku kwetu inakuja lini