Series (Special thread)

Series (Special thread)

Imetoka tayari
 

Attachments

  • 20251021_192325.jpg
    20251021_192325.jpg
    586.4 KB · Views: 21
Vinnie hadi kwenye maisha ya duniani upo hivi hivi unapenda wadada wazuri
😅 et maisha duniani, kwani tukiingia online tunaenda sayari nyingine
Jana nikatizamishwa ‘the conjuring - last rites’, naweza sema haitishi hata., sijui nimeanza kuharibika maskiini.
ushaharibika tayari, sasa hivi anza kuwafuata kabisa majini kwenye magofu na makuburini wanapoishi, nilitaka niseme mapango ila sidhani dodoma yapo kweli 😁
 
😅 et maisha duniani, kwani tukiingia online tunaenda sayari nyingine

ushaharibika tayari, sasa hivi anza kuwafuata kabisa majini kwenye magofu na makuburini wanapoishi, nilitaka niseme mapango ila sidhani dodoma yapo kweli 😁
dosho, hujui kama JF ni dunia nyingine mzee mwenzangu..!?? huku tunavyochukulia mambo na duniani ni tofauti kabisa..!


nitaenda hata mapango ya Amboni Tanga, ahsante..!😹
 
Vinnie hadi kwenye maisha ya duniani upo hivi hivi unapenda wadada wazuri..!?

Jana nikatizamishwa ‘the conjuring - last rites’, naweza sema haitishi hata., sijui nimeanza kuharibika maskiini..!🌚
Ndio mwanangu napenda sana watoto wazuri "Wallahi Wabillahi Watallahi" 😎

Mwanangu hapo kwenye horror ushakomaaa now 😃😃 ukizoea horror Raha sana mwanangu hapo Kila kitu unaona kawaida kacheki movie hii inaitwa after life yupo mchumba Christina Ricci inatisha na kusikitisha sana sijui walifikiria Nini kwenye hii movie
Screenshot_20251023-224830.jpg
 
Hey Kiranga I'm re watching the Indiana Jones sequel.

Una iKumbuka hii scene?
View attachment 3492628
Dah, it's been a minute. Hizi nyingine niliziangalia 1984 huko utotoni inabidi niziangalie tena.

Wiki iliyopita nilikuwa naangalia tena "The Gods Must Be Crazy". For some reason it popped up on Plex, nafikiti algorithm imeona napenda movies za zamani za Africa.

Nikagundua utotoni tulikuwa tunaangalia action tu, ile dialogue tulikuwa hatuelewi tulikosa mengi.

Nilivyoiangalia tena wiki iliyopita ndiyo nikapata mengi sana.

So yeah, rewatching these movies one may get something totally different or a more enhanced experience.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom