Series (Special thread)

Series (Special thread)

Story yake kwa ufupi ikoje
Inahusu mtoto anaitwa Auggie anaugonjwa ambao unafanya mifupa ya uso kuwa na matatizo hivyo inamfanya anakuwa na sura mbaya, akiwa stage za chini alikuwa anafundishwa nyumbani ila wazazi wakakubaliana wamuache akasome shuleni ila huko anakutana na watoto wanamtenga, wanamtania na kumcheka, hivyo movie inaonyesha anayopitia mpaka watoto wenzake kumkubali na kumpenda kwa jinsi alivyo na maumivu wazazi wake wanayopitia.

Sio mzuri sana kwenye kusimulia ila nahisi utakuwa umepata picha
 
Hiki chuma tumesha wahi kukizungumzia humu. Nilishangaa jamaa mmoja anasema eti sio nzuri na actions zake eti zinamsababishia kizunguzungu
Duh ! Mi naona ipo vizuri tu, labda hajazoea action za namna hiyo
 
Inahusu mtoto anaitwa Auggie anaugonjwa ambao unafanya mifupa ya uso kuwa na matatizo hivyo inamfanya anakuwa na sura mbaya, akiwa stage za chini alikuwa anafundishwa nyumbani ila wazazi wakakubaliana wamuache akasome shuleni ila huko anakutana na watoto wanamtenga, wanamtania na kumcheka, hivyo movie inaonyesha anayopitia mpaka watoto wenzake kumkubali na kumpenda kwa jinsi alivyo na maumivu wazazi wake wanayopitia.

Sio mzuri sana kwenye kusimulia ila nahisi utakuwa umepata picha
Asante mkuu ila kwa kweli movie za kutia huruma huwa zisipendi
 
Screenshot_20251013-122750.jpg

Nangoja EP ya 3😎
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom