Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,211
- 79,686
Hadi Mimi niliikimbia 😀😀nilijaribu episode ya kwanza ikanishinda mapema mno nikaachana nayo..! kweli tunatofautiana ladha..!
sasa hii season nzima naifanya nini mimi maskiini..!
Hadi Mimi niliikimbia 😀😀nilijaribu episode ya kwanza ikanishinda mapema mno nikaachana nayo..! kweli tunatofautiana ladha..!
sasa hii season nzima naifanya nini mimi maskiini..!
Anko hiyo series naiyona ikienda kupigwa cancelled suala la muda tu maana Hawa Amazon hawachelewi kufanya miyeyushoHata mi nilishangaa kuona series ya kizungu kuwaisha season mpya mapema hivyo, mi nilijua hapo mpaka 2026 september hivi,
Au huenda amazon walishawapa green light mpaka ya season 2 hivyo wakaona washot season zote kwa pamoja na sio kusubiri mwaka ujao ndio
Itakuwa hawana hela maana hivi karibuni wamekuwa waki cancel series nyingi, pesa zote wamepeleka kwenye lord of the rings 😅, wangewauzia netflix tuAnko hiyo series naiyona ikienda kupigwa cancelled suala la muda tu maana Hawa Amazon hawachelewi kufanya miyeyusho
Naunga mkono hojaItakuwa hawana hela maana hivi karibuni wamekuwa waki cancel series nyingi, pesa zote wamepeleka kwenye lord of the rings 😅, wangewauzia netflix tu
Itafute evil dead ya 2013 tafuta na na psycho ongezea na hizi tenaWakuu nimemaliza the conjuring 2013 ila moyo haujastuka sana. Nilikuwa naangalia naangalia na watu wawili ntashangaa ni mmoja tu ndo nilikuwa nasikia pumzi kama zintoka kwa Fujo mapafuni. Mwingine yeye katulia tu kakkodo macho kwenye tv na umri wake ni mdogo tu wa kawaida.
Kesho nawaalika Tena tuangalie
The shining. Kisha nihamie kwenye the exorcist.
Endeleeni kuleta vitu ambavyo ni hatari Yani damu, thrills, brutality mpaka watu wakimbie kutoka sebuleni.
Ahsante sana kesho/kukipambazula ni mwendo wa kuzipakuaItafute evil dead ya 2013 tafuta na na psycho ongezea na hizi tena
Get out
Split
Shaun of the dead
Insidious
Us
Siccin
Psycho ya mwaka ganiAhsante sana kesho/kukipambazula ni mwendo wa kuzipakua
Hiyo the shining na exotic mjiandae kupiga yowe sebuleni mzigo unaanza na Azana sio powa brother Majini ni watu hatari sanaWakuu nimemaliza the conjuring 2013 ila moyo haujastuka sana. Nilikuwa naangalia naangalia na watu wawili ntashangaa ni mmoja tu ndo nilikuwa nasikia pumzi kama zintoka kwa Fujo mapafuni. Mwingine yeye katulia tu kakkodo macho kwenye tv na umri wake ni mdogo tu wa kawaida.
Kesho nawaalika Tena tuangalie
The shining. Kisha nihamie kwenye the exorcist.
Endeleeni kuleta vitu ambavyo ni hatari Yani damu, thrills, brutality mpaka watu wakimbie kutoka sebuleni.
Ndio mambo nnayotaka sio unaangalia muvi ya kutisha halafu mapigo ya moyo yametuliaaaHiyo the shining na exotic mjiandae kupiga yowe sebuleni mzigo unaanza na Azana sio powa brother Majini ni watu hatari sana
2000 ni American psychoPsycho ya mwaka gani
😀😀😀 Utafanya wenzio wapate hallucinations 😃😀Ndio mambo nnayotaka sio unaangalia muvi ya kutosha halafu mapigo ya moyo yametuliaaa
Kuna mmoja tulipo maliza Ile ya kwanza anasema eti tuendelee na nyingine ili asahau hii ya kwanza nikaona hapa dozi bado.😀😀😀 Utafanya wenzio wapate hallucinations 😃😀
😃😀😀😀 Kesho akisikia Azana atasepa huyo padre alikimbia pepo Lina nguvu kishenzi afu linakwambia sitoki na anakutajia kuwa wewe padre ndio maana ulimuua mkeo anakukumbusha na madhambi yako 😂Kuna mmoja tulipo maliza Ile ya kwanza anasema eti tuendelee na nyingine ili asahau hii ya kwanza nikaona hapa dozi bado.
😁😁😁😁 Hapo lazima padre asepe 😁😁😁 kesho nipo nayo asee😃😀😀😀 Kesho akisikia Azana atasepa huyo padre alikimbia pepo Lina nguvu kishenzi afu linakwambia sitoki na anakutajia kuwa wewe padre ndio maana ulimuua mkeo anakukumbusha na madhambi yako 😂
Hiyo niliiona channel 137 TNT kwenye Dstv.. siku hiyo nilishindwa hata kuangalia eviction ya BBNaija.Hiyo get out Kuna sounds track ya kiswahili goma kinaitwa kimbia mbali yupo masta Daniel kaluuya alijichanganya kwa demu wa kizungu kumbe bi mkubwa wake mwanga kicenge 😃😀 Cc Mr Q
Naomba horror zitakazo chomoa moyo. Yani horror haswa. Design ya wrong turn hills have eyes na thrillers Yani nataka kustuka. Ukipata kama pia ziweke kwenye orodha