Series (Special thread)

Series (Special thread)

ETHAN kanikosha sana hatakiwi kulala mpk ajue wapi njia ipo ila nipo Episode 3 Kuna midudu inakula watu ushaanza kuonekana.

Nilikuwa nmetoka kuchakata papuchi nikasema ngoj nipitie episode nilale ila Toka nmeona Ile mimbwa najua huko mbele kitawaka ngoja ni deal nayo leo.
Ndio nipo Ep 1 inaonekana ni nzuri sana hii series
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom