dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,595
- 12,523
Mi nilikuwa nilifurahi sura ya huyo mzee no. 100 ilivyokuwa inatia huruma😅😅Hiki kipande kilinifurahisha na kuhuzunisha sana kwanza uyu jamaa apa baada ya kupita akataka amalize mchezo wote awafanye wasipite ili muda uishe game ikiisha wapige kura wasepe na mahela[emoji28][emoji28]
Nilihuzunika tu yule dada aliejiua basi
View attachment 3415868View attachment 3415869View attachment 3415870