Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,742
Mno yaani mwanangu kipo vizuri sana yaani sana 😎ni kikali..?
Mno yaani mwanangu kipo vizuri sana yaani sana 😎ni kikali..?
Muendelezo wake huu vipi,niliiishia episode ya 4View attachment 3424822
iko vizuri
Mimi ni nani nikupingeMno yaani mwanangu kipo vizuri sana yaani sana 😎
Huyo Babu mwenye miwani nimemuona kwenye Mobland seriesView attachment 3415028
Leo nmemaliza japo sijajua walishinda kushawishi hii show iende viral mana ni Kali sana ni ndugu na from hii.
View attachment 3415030
Anaitwa Tobby Jones man of the match kwenye WAYWARD PINES kanipa uhakika kidgo anaweza kumrithi SIR ANTOHNY HOPKINS 👇
View attachment 3415033
The way wanavyo ongea na kubeba their role Yani series inakuwa tam sana Japo sir Hopkins anazeeka sasa ila yupo vzur Bado kadri uzee unavyo kuja ndivyo wanavyo kuwa wakali zaidi.
Nakubali sana mkuu Vin mzee wa Kali sanaIle series ni Kali sana nasubiria msimu mpya aisee
Miezi minne ni mingi mno ukizingatia wanavyoachia ep moja moja kila siku 😀😀 mi nilitamani kusikia inatoka mwezi wa nane mwishoni😁mzee si tupo mwezi wa 8 tayari..
720p kwa 2.58GB , na hii ni episode moja ama zote?Mimi ni nani nikupingeView attachment 3425697
In a zipped file. Full season720p kwa 2.58GB , na hii ni episode moja ama zote?
Season nzima720p kwa 2.58GB , na hii ni episode moja ama zote?
Jake, a paraplegic marine, replaces his brother on the Na'vi-inhabited Pandora for a corporate mission. He is accepted by the natives as one of their own, but he must decide where his loyalties lie.Ufafanuzi
ndiyo nilikuwa nimekuja hapa kumuambia Vincenzo Jr thank you for untamed’s suggestion..!!Naombeni mtoe mrejesho wa UNTAMED kabla sijaishusha
Karibu sana mwanangu 😎ndiyo nilikuwa nimekuja hapa kumuambia Vincenzo Jr thank you for untamed’s suggestion..!!