Series (Special thread)

Series (Special thread)

images (4).jpeg

Leo nmemaliza japo sijajua walishinda kushawishi hii show iende viral mana ni Kali sana ni ndugu na from hii.


images (2).jpeg


Anaitwa Tobby Jones man of the match kwenye WAYWARD PINES kanipa uhakika kidgo anaweza kumrithi SIR ANTOHNY HOPKINS 👇
images (1).jpeg

The way wanavyo ongea na kubeba their role Yani series inakuwa tam sana Japo sir Hopkins anazeeka sasa ila yupo vzur Bado kadri uzee unavyo kuja ndivyo wanavyo kuwa wakali zaidi.
 
umepotea sana kaka, majukumu au ulikuwa umetoka kidogo nje ya nchi ku refresh mind 😀

Carleen naye siku hizi hapatikani, kazi nyingi au kajifungia ndani anapunguza movie za kwenye list yake 😆😆
😂😂😂
na niliwamiss na nikajiuliza hawa watu wapo kweli mbona kimya sana..?

hujui msimu wa mavuno huu dosho..?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom