Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 6,721
- 13,806
Jinsi Wamarekani wengi walivyo hawajui chochote kuhusu nchi nyingine tofauti na Marekani hili swali likija watakufa wengi sana 😂😂😂
Ukiangalia hata YouTube videos za Wamarekani wanavyoulizwa wataje nchi tatu za Africa mtu anataja hadi India😂😂 Kuna mwingine anataja Zamunda, mara sijui Wakanda yani Geography ni zero hawa watu 😂😂