Series (Special thread)

Series (Special thread)

Screenshot_20261005-230949.png
View attachment 3684809
Are you ready for this?
 
Kuna kipindi nilidownload hii na niseme tu kwa ujinga wangu niliifuta bila kuipa nafasi ya kuitazama.
View attachment 3683917

Itoshe kusema wadau mlo recommend hii kipindi cha nyuma huko mnisamehe sana!

What a master piece 🙌🙌🔥🔥🔥

NB: Sio ya kila mtu, kuna watu wana haraka zao watasema imepoa.
Jambo kubwa nililojifunza ni serikali zetu hasas za kijamaa they live in lies kitu ambacho mwisho hucost life la wananchi wao.
 
Watoe kitu haswaaa, wana kazi nzito kuendeleza moto ule ule ama kuizid Ile ya kwanza. Apocalypto ina jina kubwa sana wasizingue
Uko sawa.

Kuna movie inaitwa AVATAR, sikuhizi siwezi kuifuatilia kama ambavyo nilifuatilia ile ya kwanza. Hizi nyingine sizielewi kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom