Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
Conjuring siyo horror..? 28 years later niliiona tu ila hata sikuifatilia trailer yake...mimi Naongezea Meghan 2.0, Conjuring the last rites na 28 years latter . Hizo pia nazisubiri kwa hamu
Conjuring siyo horror..? 28 years later niliiona tu ila hata sikuifatilia trailer yake...mimi Naongezea Meghan 2.0, Conjuring the last rites na 28 years latter . Hizo pia nazisubiri kwa hamu
sijaanza maana sitaki kuteseka, inatoka kila baada ya muda gani..?Ushaanza kuangalia Squid game 3, mi nipo ep 02 hivyo nakushauri andaa tissue, machozi yatakutoka tu 😀😀
Netflix wanatoaga mzigo wote sio kama platform nyingine kusubiil episode moja mojasijaanza maana sitaki kuteseka, inatoka kila baada ya muda gani..?
😅😅 ni horror mwanzo mwishoConjuring siyo horror.
Last week Na mimi nilipakua tena HD ila mpka leo npo episode ya 4Hii Mercy for None niliachia njiani, hamna kitu
Vp mzigo ni wa moto?
Mkuu naomba muvi ya kuanza nayo weekend hii, ziwe action 🎬, sio seriesNilishawahi sema humu mara kibao Kuna kiazi kinaitwa penguin humo🐧 miyeyusho sana huyo jamaa
Ahsante sana kwa kunijali dosh,😅😅 ni horror mwanzo mwisho
Nimeimaliza huku nimelia 🥺Ushaanza kuangalia Squid game 3, mi nipo ep 02 hivyo nakushauri andaa tissue, machozi yatakutoka tu 😀😀
Mi ndo nimemaliza ep ya 03 sasa hvNimeimaliza huku nimelia 🥺
Itafute hii ila inasikitisha sana 😀 😃Ahsante sana kwa kunijali dosh,
Vincenzo Jr umeona mwenzio anavyonijali mpaka ana-suggest horror..??
Wanaua watu bila huruma jameni🥺🥺Mi ndo nimemaliza ep ya 03 sasa hv
Zitafute na hizi mwanangu ila uwe na bia pembeni afu cheki mida ya saa 8 usiku 😎Ahsante sana kwa kunijali dosh,
Vincenzo Jr umeona mwenzio anavyonijali mpaka ana-suggest horror..??
Hapo akipiga bia au vodka anakuwa yupo njema 😀😀Kidoge kimoja kwa siku, nzote hizo usiku mmoja unataka Carleen achanganyikiwe 😄😄
😅😅 dah hyo experience naomba isinikuteHapo akipiga bia au vodka anakuwa yupo njema 😀😀
Kuna horror Moja hivi nilicheki huku napiga bia mixer wine 🍷 si nikasema niende chooni ile narudi nakuta bia haijafunguliwa nilipiga yowe 😀 kumbe niliyokunywa mwanzo niliweka chini ya meza hii nyingine sikufungua