Series (Special thread)

Series (Special thread)

images.jpeg


Hatari sana🄳
 
Sioni option ya kudownload kwenye PC ipo ya kuplay tuu. Nisaidie nafanyaje niweze kudownload Vincenzo Jr
1. Click jina la movie
2. Itakuletea picha za wahusika na chini yake utaona links
3. Chagua quality unayo ona inakufaa kulingana na GB ulizonazo
4. Click tena itakua mbia u verfy na baadae ita generate download link then you are goos to go
 
Sioni option ya kudownload kwenye PC ipo ya kuplay tuu. Nisaidie nafanyaje niweze kudownload Vincenzo Jr
Njia nyingine install U-TORRENT Kwenye pc yako na kisha tembelea hii website ujipakulie minyama
1. Una search jina la movie
2. Una click kwenye results utakazo letewa
3. Unabonyeza get this torrent, automatically ile U-TORRENT itaivuta muvi yako tayari kwa kudownload.

Option nyingine tafuta IDM kwenye pc yako kisha bonyeza muvi unayotaka kutoka site yoyoyte inayokupa option ya ku play na IDM yako itaivuta hio muvi automatically
 
Aise wakuu baada ya kuhangaika na kukaa na arosto zangu wiki nzima hatimaye nimepata suluhisho baada ya awafim.com kugoma na pia nkiri imekuwa ikisumbua
Sasa nimepata site nzuri kweli wakuu with affordable mb's hii hapa
9jarocks.net
Hiyo ina muvi hadi current? 😁😁 isijekuwa unapambana na maigizo ya wanaijeria
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom