Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,241
- 79,798
Wednesday
Kabisa season one eleven (milie ) alikuwa ana miaka kumi na mbili nahisi, ila season 5 dogo kawa mke wa mtuWale character wake now wamekuwa watu wazima mno 😀
Ma director huwa hawaoni ajabu, mfano ali director movie flani akiwa mdogo na sasa hivi kawa mkubwa.View attachment 3353628
Wednesday
Exactly 💯 brother afu msimu huu ndio wa mwisho aiseeKabisa season one eleven (milie ) alikuwa ana miaka kumi na mbili nahisi, ila season 5 dogo kawa mke wa mtu
Kwenye titanic nilikuwa nampenda sana my rose,now kazeeka kweli sio kama yule mrembo wa jack...Ila uzee jamani, nikimkumbuka Rose wa Titanic alivyokua kisuuuu leo kawa shangazi bibi, dah!
Huyo ndie Aliye igiza creed?
Ni yeye kakaHuyo ndie Aliye igiza creed?
Me nahisi hii inaweza kuwa kwenye nominations za oscar 1. Hasa kwenye directing 2. Lead actor 3. Na supporting actor
Mpaka vpn hii mkuu tumia 1111 vpnHii haifunguki au mpaka Vpn
Kabisa kakaMe nahisi hii inaweza kuwa kwenye nominations za oscar 1. Hasa kwenye directing 2. Lead actor 3. Na supporting actor
Kev atakuwa kwenye wakati ngumu mnoKumbe Eddie ni mtoto wake. Yaani alimla mke wa mtoto wake(Kev).
mshamba_hachekwi nimeicheck secret level ep ya 1 ipo motoAnti-monitor umeiona Love, Death and Robots volume 4 ? Vipi kuhusu Secret Level ?
View attachment 3351101
View attachment 3351107
James Cameron nimemkubali kwenye Avatar zote na Terminators zoteHao wote ni wakali sana hapo kwa Cameron ana mzigo kama alien na zile avatar ni Kali sana kwa Nolan ana kazi safi kama memento , the dark night , inception pamoja na the prestige
DEVIL MAY CRY nayo ni 🔥🔥