Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,234
- 79,765
Torrent mkuuHii inapatikana website ipi mkuu
Torrent mkuuHii inapatikana website ipi mkuu
sahihiMtu akiambiwa series kali anawaza mangumi na marisasi, wakati siku hizi storyline na drama ndio kila kitu.
Utasikia mtu anakuambia Adolescence ni mbaya, wakati kwa wenzetu imeweka rekodi ya more than 2M+ viewers within 24h of its release.
Best seriesChernobyl 🔥🔥🔥🔥
Nimejikuta nakuwa addicted na series za HBOBest series
Ongezea na The Pacific mkuuNimejikuta nakuwa addicted na series za HBO
The wire
Chernobyl
Band of brothers
Game of thrones
The sopranos
Six feet under
Rome
Nikiweka hii hapa
Hii bado sijaicheki wacha niitafuteOngezea na The Pacific mkuu
Na the last of usOngezea na The Pacific mkuu
Naunga mkono hojaNa the last of us
Itafute Leo leoHii bado sijaicheki wacha niitafute
Et vin, kati ya Christopher Nolan na James Cameron ni director gani unamkubali. Me kwangu ni Christopher NolanNaunga mkono hoja
Mkuuu hiii Qeen of South ni hatari sanaInawezekana ila kwa app za movie atumie Netflix tu onstream ataisikilizia kwenye bomba
HBO kwenye series 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 ni wakongwe kaziniNimejikuta nakuwa addicted na series za HBO
The wire
Chernobyl
Band of brothers
Game of thrones
The sopranos
Six feet under
Rome
Wote ni wakali wenye ladha mbili tofauti.Et vin, kati ya Christopher Nolan na James Cameron ni director gani unamkubali. Me kwangu ni Christopher Nolan
Nmeona drama nying na bado Paradise sio one of the best.Mtu akiambiwa series kali anawaza mangumi na marisasi, wakati siku hizi storyline na drama ndio kila kitu
Hao wote ni wakali sana hapo kwa Cameron ana mzigo kama alien na zile avatar ni Kali sana kwa Nolan ana kazi safi kama memento , the dark night , inception pamoja na the prestigeEt vin, kati ya Christopher Nolan na James Cameron ni director gani unamkubali. Me kwangu ni Christopher Nolan