Series (Special thread)

Series (Special thread)

Tukutane September
 
Attachments

  • 20250601_083250.jpg
    20250601_083250.jpg
    371.7 KB · Views: 15
Hii SINNERS hype iliyopewa ni kubwa sana tofauti na uhalisia ukiachana na dialogues na language slang
Sijaona cha maana action ni kawaida sana na uongo mwingi, mtu kujikata mkono na damu kuruka kama maji ya kandoro yaliyotobolewa na toothpick that was too much!

But i liked how brothers smoke and stack cared for each other .
 
😀😀Mbona ipo fresh tu masta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom