hii sinners nilipoteza masaa mawili kumbe ni ya mazombi upumbavu tu
well... Kama wewe ni mpenzi wa secret societies na mambo yao itakufaa. Kwa macho ya mtu wa kawaida utaiona ni muvi ya kawaida ila kama unazijua alama za illuminates humo zimejaa.
na ndio mana muvi imepasua anga kwa sabbu imebeba ajenda zao.
kuna songi la mazombi limepigwa nnauhakika huko kwenye matempo yao ndio nyimbo zao sema hapa wanatumegea kidogo tu.
kuna songi lingine lilikuwa linakolezwa na Dada kavaa viatu vyenye visigino virefu, ukiangalia style ya uchezaji unaona kabisa hawa ni skull&bone society
ni maoni yangu