Series (Special thread)

Series (Special thread)

You are missing out Brother.
Ulimwengu wa anime/animated series una plot na story zinazofikirisha na kuburudisha ajabu.
Kama unaweza kutazama TV series kama Game of Thrones kwanini ushindwe kutazama anime/animated series?
Hata mimi kitambo sana niliwahi kuwa na mindset inayoniambia kuwa anime/animated series sio vitu serious, ila nikajiuliza kama naweza kusoma fiction books na kuangalia fantasy movies/series kwanini nishindwe kuangalia anime/animated series. Nilianzaga na Avatar: The last Airbender, eeeh bwana eeeh baada ya hapo...

Nisikuchoshe, kula kigongo hiki 👇👇👇👇

The Haunting of Hill House
View attachment 3322358
Mizigo ya Anime imenifanya niwe mbabe sana.Mana kuna mavitu toka nakua yalinivutia kucheza michezo ya Kiyakuza na Ip Master japo si sana😀😀😀😀

Kuna ubabe flani na story line flani kali sana.
 
Mkuu naomba link ya Fargo ili nishuke nayo mana Ile Barry niliipenda Sana.

Na dope thief nayo imeisha vzur sana.
Hii hapa
 
Anti-monitor umeiona Love, Death and Robots volume 4 ? Vipi kuhusu Secret Level ?
1748615331053.png


Secret Level.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom