Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wadau wa mitandaoni Wana diss sana vitendo vya ki chokooo vinavyoendelea kwenye series Last of Us wengine wanasema vilikuwa havina ulazima kuwepo

Ukizingatia kale katoto wanakaweka kwenye scene za usagaji watu wamemaindi kinoma Kuna kipande wanapigana finger kabisa ilikuwa Haina ulazima kutuonesha

Wadau wanamaindi itapoteza mvuto
Wanazingua sana hao afu kwenye game lake hakuna machoko kwenye series ndio wameweka miyeyusho yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom